Tuko Pamoja

Tuko Pamoja

Tuesday, October 26, 2010

TUKIWA ENEO LA SAE AMBALO NMDIKO MHESHIMIWA JOSEPH MBILINYI AMEKULIA NA KUISHI KWA MUDA MREFU

 MR II akisisitiza jambo wakati wa mkutano
Huyu jamaa ni mfano mzuri wa jinsi ya kutunza kitambolisho chako chakupigia kura kama anavyo oonekana katika picha hapo juu
Wakazi wa SAE wakisha ngilia jambo wakati wa mkutano

Umati mkubwa wa wakazi wa SAE walio jitokeza kumsikiliza na kumuunga mkono MR II ( SUGU ) 
Mamia ya watu walio fika kumsikiliza  JOSEPH MBILINYI ( MR II )

Tuesday, October 19, 2010

MAELFU WAJITOKEZA KUMUUNGA MKONO JOSEPH MBILINYI (MR II ) KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA MWANJELWA MBEYA


JOSEPH MBILINYI akihutubia maelfu ya watu hapa mwanjelwa 
 Maelfu wakishangilia kwa furaha anayozungumza bwana JOSEPH MBILINYI
 Hapa yalikuwa maandamano ya kumsindikiza SUGU nyumbani haija wahii kutokea kama hivi katika historia ya Mkoa wa mbeya
 Wananchi wakichangia kampeni za sugu hapa mwanjelwa

 Umati mkubwa wa watu ambao haujawahi kujazwa na mgombea yoyote hapa jijini mbeya ila SUGU ameweza kuujaza

 MR II akiongea na wananchi wake katika kampeni hapa Mwanjelwa

Monday, October 18, 2010

JOSEPH MBILINYI - SUGU KATIKA MKUTANO WA KAMPENI MABATINI


 Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini Bw. Mwambigija akimwaga upako kabla ya Sugu kupanda

 Msanii mahiri G Solo pamoja na mmoja wa wasimamizi wa kampeni Kwame Anangisye wakiwa na full gwanda

 Watu mbalimbali wakimpongeza baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni

Umati wa wana Mbeya ukimsindikiza Sugu baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni

Monday, October 11, 2010

JOSEPH MBILINYI ( MR II ) AWAKUNA WANANCHI WA JIMBO LA MBEYA KATIKA MDAHALO ULIO FANYIKA HAPA JIJINI

 Mgombea ubunge jimbo la Mbeya mjini Bw Joseph Mbilinyi (MR II) akijinadi mbele ya Mdahalo
Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II

 Wananchi wa jimbo la Mbeya mjini  wakisikiliza kwa uma kini sera za MR II

 Wananchi pia walipata nafasi ya kuuliza maswari yao kwa wagombea ubunge jimbo la mbeya mjini
 Shabiki wa Chadema jimbo la Mbeya mjini akitulizwa na waandaaji wa mdahalo huu wa wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini ,baada ya kutaka kuvamia jukwaa la MR.II kumpongeza kwa kiasi cha shilingi 2000 kwa maelezo mazuri


 Mdahalo umefungwa wananchi walipuka kwa shangwe kwa maelezo ya MR.II
 Wagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini kutoka kushoto Alimu Tokolosi Suali ( DP), Prince Gwamaka Mwaihojo (CUF) wapili kutoka kulia  na Joseph Mbilinyi ( Chadema)
 Walemavu wasio sikia wakisaidiana kusikia

 Hii ndio hali halisi ya siasa za jimbo la Mbeya mjini mgombea wa Chadema avitisha vyama vya upinzani kutokana na ushirikiano mkubwa anao pewa na wananchi wa jimbo la mbeya mjini
Mamia ya wakazi wa jimbo la Mbeya mjini wakiwa wamefurika katika ukumbi wa Mkapa katika mdahalo huu

Friday, October 8, 2010

Wanachama na wapenzi wa CHADEMA mnaombwa kuchangia kwa dhati harakati za CHADEMA

Tukiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania ambao utafanyika October 31, 2010, Watanzania wazalendo wanachama na wapenzi wa Chadema mnaombwa kuchangia kwa dhati harakati za Chadema ili tuweze kuwafikia Wananchi wengi zaidi katika kila kona ya Tanzania tukitafuta ridhaa yenu ya kuweza kujenga nchi yetu; nchi yenye usawa, uzalendo, maadili na uwajibikaji katika miaka mitano ijayo.

Video Link:
http://www.youtube.com/watch?v=TvLRsAsgyWc

CHANGIA CHADEMA KUPITIA BANK:
CRDB BANK
CHADEMA - M4C
Account Number: 0J1080100600

National Microfinance Bank [NMB]
CHADEMA
Account Number: 2266600140

Unaweza kuweka pesa kupitia tawi lolote la Benki hizi Tanzania.


CHANGIA CHADEMA KUPITIA SMS (MESEJI):
Tuma neno:

"CHADEMA" kwenda namba 15710
"NAJIUNGA" kwenda namba 15710
"SLAA" kwenda namba 15710

Unaweza kutuma meseji mara nyingi kadri unavyoweza na kila ujumbe utagharimu TZS 350/= tu.
HII NI KWA MITANDAO YA ZAIN, TIGO NA VODACOM TU.


CHANGIA KUPITIA M-PESA:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa M-Pesa wanaweza kutumia namba zifuatazo:

0758 223 344
0764 776 673


CHANGIA KUPITIA ZAP:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa ZAP wanaweza kutumia namba hii:

0789 555 333

"Ndugu Zangu Watanzania, tunawaomba kwa dhati kabisa tushikamane, tushirikiane bila kujali itikadi zetu kuchangia harakati hizi, tunawashukuru sana. - Dr. Wilbroad Peter Slaa"

CHAGUA MABADILIKO YA KWELI. CHAGUA CHADEMA.

JOSEPH MBILINYI (MR 2 sugu) ameiteka MBEYA